Nenda kwa yaliyomo

Jacqueline Mukansonera

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bustani ya wenye haki ya ulimwengu", jiji la Padua, Italia

Jacqueline Mukansonera (1963) ni nesi kutoka Rwanda,kabila la mhutu, alimuokoa mwanamke wa kitutsi Yolande Mukagasana kutokana na kuuawa wakati wa mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994.[1]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jacqueline Mukansonera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.