Muuguzi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Nesi)
Muuguzi ni mtaalamu wa afya aliyeandaliwa kupitia mfumo maalumu na thabiti wa kitaaluma, kisha kuthibitishwa na kuidhinishwa (na mamlaka iliyopo kisheria / chombo kinachosimamia taaluma hii) kutoa huduma za afya.
Muuguzi anaweza kuwa wa jinsia yoyote. Sambamba na hospitalini, muuguzi anaweza kufanya kazi maeneo tofautitofauti: nyumbani, kwenye jamii, kwenye kampuni na mashirika mbalimbali, shuleni na vyuoni.
Kazi nyingi na muhimu hutekelezwa kwa weledi mkubwa na wauguzi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Professional Nursing Practice: Concepts and perspective, Koernig & Hayes, sixth edition, 2011, p.100, ISBN|978-0-13-508090-0
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Muuguzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |