J.C. Lodge
Mandhari
J.C. Lodge (kirefu: June Carol Lodge[1], 1 Desemba 1958) ni mwimbaji wa reggae mchoraji mzuri na mwalimu mwenye asili ya Britania na Jamaika.
Wimbo wake wa kwanza mkubwa Someone Loves You, Honey uligeuka kuwa wimbo ulioongoza mauzo mwaka 1982 nchini Uholanzi. Lodge pia ni mchoraji aliyefaulu akiwa ameonyesha kazi zake katika maktaba ya sanaa ya Kingston na ameshiriki katika uzalishaji kadhaa wa theatre.[2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ She performed and released records under different artist names:
- June Lodge
- June C. Lodge
- from 1984 on as J.C. Lodge.
- ↑ Huey, Steve "[J.C. Lodge katika Allmusic June Lodge Biography]", AllMusic, Macrovision Corporation
- ↑ Larkin, Colin (1998) "The Virgin Encyclopedia of Reggae", Virgin Books, ISBN 0-7535-0242-9
- ↑ Johnson, Richard (2019) "New music coming from JC Lodge", Jamaica Observer, 15 September 2019. Retrieved 6 October 2019
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu J.C. Lodge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |