Nenda kwa yaliyomo

Israel Mbonyicyambu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makala hii inahusu mada au mtu asiyejulikana sana. Kuna mashaka kama mada inastahili kuwa na makala katika kamusi. Onyo hili linaweza kuwekwa pia kama makala haionyeshi umaarufu, hata kama upo.

Watumiaji wanaombwa kushiriki katika majadiliano kama makala hii inafaa kubaki au la. Tazama:Wikipedia:Umaarufu

Unaweza kuondoa kigezo hiki kama majadiliano yametokea na washiriki walipatana.

Ni maarufu kwa jina la Israel Mbonyi, alizaliwa tarehe 20 mwezi wa Tano mwaka 1992 katika kijiji cha Minembwe ( (Mulenge) Kilichopo kusini mwa mji wa Bukavu katika nchi ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo . Wazazi wote wawili ni wakristo na ni raia wa nchi ya Rwanda.[1]

  1. https://www.pulselive.co.ke/entertainment/music/biography-of-rwandan-gospel-musician-israel-mbonyi-net-worth-wife-awards-and-more/0sz0fn1