Isaac Isinde

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isaac Isinde (alizaliwa 16 Aprili 1991) ni mchezaji wa soka wa Uganda ambaye sasa anacheza kama beki katika klabu ya Buildcon F.C katika Ligi Kuu ya Zambia.

Alianza kucheza mpira wa miguu katika shule ya Upili ya Jinja Senior Secondary School, iiliyopo Mashariki mwa Uganda. Ameshinda mataji 4 ya Ligi Kuu ya Ethiopia na 2 mengineyo katika na baadaye miaka 5 na klabu ya Saint George.

Buildcon F.C[hariri | hariri chanzo]

Isaac alihamia Buildcon FC baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya St George iiliyopo Ethiopia, siku kadhaa hadi mwisho wa Kombe la Mataifa ya Afrika ambako alikuwa sehemu ya kikosi cha Uganda Cranes.

Isaac alicheza kwa mara ya kwanza katika klabu ya Buildcon FC dhidi ya TP Mazembe.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Isinde kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.