Isaac Amani Massawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Isaac Amani Massawe (amezaliwa 10 Juni 1951) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Polycarp Pengo mwaka wa 2008.

Tangu mwaka huo, alikuwa askofu wa Jimbo la Moshi hadi alipofanywa askofu mkuu wa jimbo Kuu la Arusha tarehe 27 Desemba 2017.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.