Is This Love

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Is This Love”
“Is This Love” cover
Single ya Bob Marley
kutoka katika albamu ya Kaya
Imetolewa 1977
Imerekodiwa 1977-1978
Aina Reggae
Urefu 3:52
Studio Tuff Gong Island
Mtunzi Bob Marley
Mwenendo wa single za Bob Marley
"Kaya" "Is This Love"
(1977)
"Sun Is Shining"

"Is This Love" ni wimbo wa Bob Marley, umetolewa kwenye albamu yake ya mwaka wa 1978, Kaya. Wimbo umekuwa miongoni mwa nyimbo maarufu za Marley na ulikuwa moja kati ya sehemu za kompilesheni ya Legend. Ilishika nafasi ya #9 kwenye chati za UK wakati wa kutolewa kwake hapo mwaka wa 1978.

Muziki wa video[hariri | hariri chanzo]

Muziki wake video nao pia ulitayarishwa; nakwenye video kunaonekana mwanamitindo mashuhuri wa Kiingereza Naomi Campbell, akiwa na umri wa miaka 7, na kufanya onekano lake la kwanza kwenye umma kwa kupitia wimbo huu.


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Is This Love kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.