Beverley Kelso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Beverley Kelso ni mwimbaji kutoka nchini Jamaika. Alikuwa mwitikiaji na alikuwa mmoja kati ya wanachama waanzilishi wa bendi ya The Wailers (kati ya 1963–1966).[1] Kifo cha Junior Braithwaite mnamo 1999 na kifo cha Cherry Smith mnamo 2008 kimemwacha Kelso na Bunny Wailer wakiwa kama wanachama waanzilishi pekee wa kina Wailers (ijapokuwa Cherry Smith hakuorodheshwa kwenye tovuti ya bendi akiwa kama mwanachama kamili kwa kutokana na mchango wake mdogo katika bendi[2]).[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Moskowitz, David (2007). The Words and Music of Bob Marley. Praeger Publishers. ISBN 0-275-98935-6. 
  2. http://www.palmbeachpost.com/localnews/content/local_news/epaper/2008/10/12/cherry_1013.html?imw=Y
  3. "Original Wailer Junior Braithwaite Murdered In Jamaica", 4 Juni 1999. Retrieved on 2010-01-21.