Indeed
Indeed ni tovuti ya kutafuta kazi iliyoanzishwa mnamo Novemba 2004. Ni kampuni tanzu ya kampuni ya Japani ya Recruit Co. Ltd. yenye makao makuu Austin, Texas na Stamford, Connecticut na ofisi nyingine katika nchi kadhaa duniani.[1]
Indeed hivi sana inapatikana kwenye nchi 60 duniani na kwa lugha 28. Mnamo Oktoba 2010, Indeed.com iliipiku Monster.com na kuwa tovuti yenye watumiaji wengi zaidi nchini Marekani.[2]
Tovuti hii inakusanya nafasi za kazi toka kwenye maelfu ya tovuti. Mwaka 2011, Indeed ilianza kuruhusu waomba kazi kutuma maombi moja kwa moja kwenye tovuti yake [3] na pia kuhifadhi maelezo binafsi ya waomba kazi.[4]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Indeed ilianzishwa na Paul Forster na Rony Kahan mwaka 2004 huko Austin, Texas na Stamford, Connecticut.[5] The Stamford offices house the company's sales, client services, finance and human resources teams while the product development staff is based in Austin.[1]
Indeed ilianza kupata faida mwaka 2007. Ukuaji wa pato lake ulitokana na kazi nzuri ya mauzo iliyoongozwa na Christopher Campbell na Brendan Cruickshank.[6]
Tarehe 1 Oktoba 2012 Indeed ilikuwa kitengo kinachojitemea cha kampuni ya Recruit Co. Ltd.[7]
Tarehe 1 Julai 2018 Recruit Holdings Co., Ltd. ilitangaza kununua mshindani wa Indeed, Simply Hired.[8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Indeed announces plans for several hundred new Stamford jobs", StamfordAdvocate.
- ↑ "Indeed Slips Past Monster, Now Largest Job Site By Unique Visitors". Iliwekwa mnamo Desemba 9, 2010.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "New Feature: Indeed Apply". Resfly Blog. Resfly. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 23, 2012. Iliwekwa mnamo Februari 21, 2012.
{{cite web}}
: Unknown parameter|deadurl=
ignored (|url-status=
suggested) (help) - ↑ Zappe, John (Septemba 14, 2011). "Indeed Makes it Official and Launches Resume Search". ere.net. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-23. Iliwekwa mnamo Januari 12, 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Founders". InternetInc.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-08-10. Iliwekwa mnamo 2014-08-23.
- ↑ Blum, Brian (2009-06-30). "Indeed.com execs jump to rival JuJu". AIM Group (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-12-28.
- ↑ "Indeed Announces Acquisition by Recruit Co. Ltd". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-01-13. Iliwekwa mnamo 2012-10-01.
- ↑ Lunden, Ingrid. "Indeed owner Recruit Holdings confirms acquisition of Simply Hired", Techchrunch. Retrieved on 1 July 2016.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Indeed kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |