Inés Camilloni
Ines Camillioni (alizaliwa machi 2,1964) ni mtaalamu wa hali ya hewa kutoka Argentina, aliejikita katika mabadiliko ya tabia nchi katika bara la Amerika Kusini. [1] Ni mhadhiri katika Chuo kikuu cha Buenos Aires na ni mtafiti huru katika taasisi ya Research on the sea and atmosphere. [2]Mtafiti huyu pia ni katibu wa kitaaluma wa Kitivo cha Sayansi Halisi na Asili cha UBA. [3]Camilloni ni mkazi katika Mpango wa Utafiti wa Uhandisi wa Nishati ya jua wa Chuo Kikuu cha Harvard[4] na mkurugenzi wa Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Mazingira katika Kitivo cha Sayansi Halisi na Asili cha UBA.
Camillion ni mjumbe wa sayansi kuhusu athari za mabadiliko ya hali ya hewa. Kama sehemu ya shughuli zake za uhamasishaji, anashiriki katika mazungumzo na mahojiano[5][6][7]
Elimu
[hariri | hariri chanzo]Camilloni alipokea BA katika utabiri kutoka chuo cha Buenos Aires mwaka 1987. Mwaka 1996 alikamilisha Shahada ya Uzamivu katika chuo kikuu hicho, akibobea katika Sayansi ya Anga.[8]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "CONICET | Buscador de Institutos y Recursos Humanos". www.conicet.gov.ar. Iliwekwa mnamo 2023-05-20.
- ↑ Tais Gadea Lara (2020-02-06). "Inés Camilloni. Una voz argentina ante el mundo". RED/ACCIÓN (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2023-05-20.
- ↑ "Inés Camilloni". Revista Anfibia (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2023-05-20.
- ↑ "Ines Camilloni". geoengineering.environment.harvard.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-20.
- ↑ "Breves y urgentes observaciones sobre el cambio climático – Revista N&T .www.revistanyt.com.ar" (kwa Kihispania). 2020-12-07. Iliwekwa mnamo 2023-05-20.
- ↑ Adam, Robert (2021-07-16). "¿Cómo crees que afecta el cambio climático al patrimonio cultural?". revista PH. doi:10.33349/2021.104.4997. ISSN 2340-7565.
- ↑ Redacción (2020-01-17). "Inés Camilloni: la Patagonia es una de las regiones del país más afectadas". Diario Río Negro | Periodismo en la Patagonia (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2023-05-20.
- ↑ "Ines Camilloni". geoengineering.environment.harvard.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-05-20.