Imre Kertész

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Imre Kertész

Imre Kertesz (amezaliwa 9 Novemba 1929) ni mwandishi kutoka nchi ya Hungaria. Hasa ameandika riwaya kuhusu maisha ya Wayahudi wakati wa ukatili wa WaNazi. Mwaka wa 2002 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Imre Kertész kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.