Illovo Sugar
Mandhari
Illovo Sugar ni kampuni ya sukari ya Afrika Kusini. Makao makuu yako karibu na Durban, Afrika Kusini. Idadi kubwa ya hisa zake (51%) iko mkonono ya Associated British Foods plc ya Uingereza.
Illovo ina makampuni yafuatayo chini yake:
- Illovo Sugar Malawi - Limbe, Malawi
- Kilombero Sugar - Tanzania
- Maragra Açúcar - Msumbiji
- Ubombo Sugar - Afrika Kusini
- Zambia Sugar - Zambia
Viungo vye Nje
[hariri | hariri chanzo]- Illovo Sugar
- Sahifa ya Illovo Sugar Malawi ya MBendi Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Illovo Sugar kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu "Illovo Sugar" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |