Nenda kwa yaliyomo

Iker Bravo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Iker Bravo Solanilla (alizaliwa 13 Januari 2005)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uhispania, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Bayer 04 Leverkusen inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani na timu ya taifa ya Uhispania kwa walio na umri chini ya miaka 19.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. VAVEL.com (2019-11-19). "Promesas de La Masía: Iker Bravo, el '9' ejemplar". VAVEL (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iker Bravo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.