Howard Walter Florey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Howard Florey)
Howard Walter Florey

Howard Walter Florey (24 Septemba 189821 Februari 1968) alikuwa daktari kutoka nchi ya Australia. Hasa anajulikana kwa utafiti wake wa penisilini. Alipewa cheo cha "Sir" mwaka wa 1944. Mwaka wa 1945, pamoja na Alexander Fleming na Ernst Boris Chain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Howard Walter Florey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.