Hoda Ali
Hoda Ali ni muuguzi na mwanaharakati wa haki za binadamu anayetetea haki za wasichana kwa kufanya kampeni ya kumaliza ukeketaji wa wanawake nchini Uingereza.
Anafanya kazi kama Meneja Mradi katika Shule ya Msingi ya Perivale, moja ya shule za kwanza katika harakati za kuanzisha mpango wa kutokomeza Ukeketaji (FGM), vitendo ambavyo hufanyiwa wasichana wadogo na wa kawaida, ambapo anaamini elimu ni muhimu sana kwa kuzuia ukeketaji.
Historia ya Maisha na kazi
[hariri | hariri chanzo]Hoda Ali alifanyiwa ukeketaji nchini Somalia akiwa na umri wa miaka 7[1]. Alipata matatizo wakati huo ikiwemo kulazwa hospitalini kwa papo hapo, kukosa uwezo wa kupata watoto na kumaliza hedhi mapema.Hivyo sasa ameamua kufanya kampeni dhidi ya ukeketaji wa wanawake ikiwa ni pamoja na ile inayofanywa na wataalamu wa matibabu.[2][3][4]. Mnamo mwaka 2014 alianzisha kikundi cha kukuza ufahamu dhidi ya ukeketaji, ambapo tukio la kwanza lilifadhiliwa. Kampeni hii ilishinda Tuzo ya CLIO ya Mtangazaji wa Mwaka mnamo 2015, na Ali alikabidhiwa New York kupokea tuzo hiyo kwa niaba ya wakala wa matangazo Ogilvy Mather.[5][6][7]. Lakini pia mnamo Machi 2018 aliteuliwa kama mtetezi wa Haki za Binadamu shirika la Amnesty International..[8][9].
Kwa sasa ni mdhamini wa shirika lililosajiliwa 28TooMany lililoanzishwa kufanya tafiti na kutoa maarifa na zana kwa wale wanaofanya kampeni kukomesha ukeketaji katika nchi za Afrika.[10].
Ushiriki
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 2013 Ali alionekana kwenye waraka wa kituo cha runinga cha Channel 4 kipengele cha (The Cruel Cut), ulioteuliwa na BAFTA juu ya ukeketaji uliowasilishwa na mtaalamu wa saikolojia na mwanaharakati Leyla Hussein.[11][12]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "'FGM is child abuse. Full stop.' - Ealing News Extra". ealingnewsextra.co.uk (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-21. Iliwekwa mnamo 2018-05-27.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Meet the British survivors of genital mutilation". Metro (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2016-11-04. Iliwekwa mnamo 2018-05-20.
- ↑ Carson, Mary; Daly, Claire (2016-06-16). "The sickening trend of medicalised FGM". the Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-05-20.
- ↑ Attias, Aviva. "RCM launches powerful animations to help end FGM | Royal College of Midwives". www.rcm.org.uk (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-22. Iliwekwa mnamo 2018-05-27.
- ↑ Commons, Jess. "Meet The Vavengers: Get To Know The Activists Working To End FGM". Refinery29 (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2018-05-28.
- ↑ "Ogilvy & Mather London Wins Grand CLIO". O&M UK (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-09-26. Iliwekwa mnamo 2018-05-28.
{{cite news}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help) - ↑ "Mission partner's charity wins prestigious advertising award". Church Mission Society (kwa Kiingereza). 2015-10-01. Iliwekwa mnamo 2018-05-28.
- ↑ "The Suffragette Spirit Map". Amnesty International. 2018.
- ↑ Patel, Salina (8 Machi 2018). "Meet the inspirational west London women defending human rights who are being celebrated in the suffragette movement". Get West London. Iliwekwa mnamo 20 Mei 2018.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "About Us - 28 Too Many". www.28toomany.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-05-27.
- ↑ "Bafta TV awards 2014: Winners in full". BBC News (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2014-05-18. Iliwekwa mnamo 2018-05-27.
- ↑ "Raising awareness about female genital mutilation: What can we do to help? - Institute of Global Health Innovation". Institute of Global Health Innovation, Imperial College London (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2014-10-27. Iliwekwa mnamo 2018-05-27.