Nenda kwa yaliyomo

Hiroyuki Hayashi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hiroyuki Hayashi (林 弘幸, Hayashi Hiroyuki, alizaliwa 5 Septemba 1973) ni mwanariadha mstaafu nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400. Akishinda medali za shaba katika mbio za kupokezana za mita 4 × 400 katika matoleo mawili ya mashindano ya ndani ya dunia,mwaka 1993 na wachezaji wenzake Masayoshi Kan, Seiji Inagaki na Yoshihiko Saito na mwaka 1995 Kan, Inagaki na Tomonari Ono.Pia alishiriki katika tukio lile lile katika mashindano ya ddunia ya mwaka 1997 bila kufika fainali.[1]

  1. 1997 World Championships Official Results – 4x400 Metres Relay – Men – Semi-Final
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hiroyuki Hayashi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.