Nenda kwa yaliyomo

Hildegard Maria Rauchfuß

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hildegard Maria Rauchfuß

Hildegard Maria Rauchfuß (22 Februari 1918 - 28 Mei 2000) alikuwa mwandishi wa Ujerumani. Kazi zake zilijumuisha riwaya, hadithi fupi, mashairi, nyimbo, michezo ya redio na tamthilia za televisheni. Vitabu vingi vya kwake vilitokana na utafiti wake wa kina katika maeneo mbalimbali na vinasimulia hadithi za wanawake waliopata au kushindwa kupata haki za wanawake.[1]

  1. Michael Pilz, Redakteur Feuilleton (6 Aprili 2002). "5.000 Stunden "Am Fenster"". Axel Springer SE (Welt), Berlin. Iliwekwa mnamo 10 Desemba 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hildegard Maria Rauchfuß kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.