Nenda kwa yaliyomo

Hifadhi ya taifa ya Bou-Hedma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bou-Hedma National Park
MahaliTunisia
Kuanzishwa1980

Hifadhi ya taifa ya Bou-Hedma iko kati ya Gavana ya Gafsa na Gavana wa Sidi Bouzid, nchini Tunisia.

Hifadhi hii iliundwa mnamo Desemba 18, 1980, na imekuwa kwenye orodha ya majaribio ya UNESCO ya Maeneo ya Urithi wa Dunia tangu Mei 28, 2008 [1]

Hifadhi ya taifa ni muhimu sana kwa sababu ya mimea na wanyama wake. Aina za wanyama walio hatarini ambao wamepata hifadhi ni Swala (Addax nasomaculatus), Struthio camelus australis na Gazella dama mhorr.

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya taifa ya Bou-Hedma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.