Hifadhi ya Taifa ya Khaudum

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mbuga za taifa za Namibia na Khaudum dhidi ya mpaka wa Botswana

Hifadhi ya Taifa ya Khaudum ni hifadhi ya mazingira iliyojitenga katika Jangwa la Kalahari magharibi mwa Kishoroba cha Caprivi, kaskazini mashariki mwa Namibia. Ni hifadhi ya mbali sana na haifikiki kirahisi lakini ni makazi ya wanyama wa ajabu kama vile simba na fisi. Hifadhi hiyo pia ina kambi ya wageni.

Utalii[hariri | hariri chanzo]

Khaudum ametengwa. Kambi zote mbili na Hifadhi nzima ya taifa zilifungwa mnamo Mei 2013 hadi hapo tamko litakapo toka.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hifadhi ya Taifa ya Khaudum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.