Hernán Crespo
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Argentina, Italia |
Nchi anayoitumikia | Argentina, Italia |
Jina katika lugha mama | Hernán Crespo |
Jina halisi | Hernán |
Jina la familia | Crespo |
Pseudonym | Valdanito |
Tarehe ya kuzaliwa | 5 Julai 1975 |
Mahali alipozaliwa | Florida |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kihispania |
Kazi | association football player, association football manager |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Alisoma | La Salle Florida |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 1996 Summer Olympics, 2006 FIFA World Cup, 2002 FIFA World Cup, 1998 FIFA World Cup |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza, Seria A |
Hernán Jorge Crespo (amezaliwa Florida Este, Argentina, 5 Julai 1975) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani kutoka nchi ya Argentina.
Crespo alichezea vilabu vya River Plate, Parma F.C., S.S. Lazio, Inter Milan, Chelsea F.C., A.C. Milan na Genoa C.F.C.,
Crespo alifunga magoli zaidi ya 300 katika marika ya miaka 19. Katika hatua ya kimataifa alishinda magoli 35.nani Muajentina wa nne kufunga magoli mengi pembeni ya Sergio Auguero,Gabriel Batistuta na Lionel Messi.amecheza mara tatu michuano ya kombe la dunia mwaka 1998, 2002, 2006. katika hatua ya klabu Crespo aikuwa ni moja kati ya wachezaji wabei kubwa,aliponunuliwa na Lazio na Parma 2002.alikuwa ni mchezaji anayeongoza kwa magoli Serie A mwaka 2000-2001,akichezea klabu ya Lazio akiwa ameshinda magolio 26.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hernán Crespo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |