Hernán Crespo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hernán Crespo

Hernán Jorge Crespo (amezaliwa 5 Julai 1975) ni mchezaji mpira wa miguu wa zamani kutoka nchi ya Argentina. Crespo alichezea vilabu vya River Plate, Parma F.C., S.S. Lazio, Inter Milan, Chelsea F.C., A.C. Milan na Genoa C.F.C.,