Her Zimbabwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Her Zimbabwe ilikuwa blogu iliyoangazia hadithi za wanawake wa Zimbabwe. Tovuti hii ilikua maarufu mwaka wa 2012. [1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Smith, David (2012-06-06), "Her Zimbabwe: portal of a nation", The Guardian (kwa en-GB), ISSN 0261-3077, iliwekwa mnamo 2024-04-19 
  2. Davidson, Brett (2012-06-23). "Her Zimbabwe". Africa Is a Country (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2023-06-25.