Nenda kwa yaliyomo

Henny Eman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jan Hendrik Albert

Jan Hendrik Albert Eman (20 Machi 19486 Januari 2025) alikuwa mwanasiasa na Waziri Mkuu wa kwanza wa Aruba kuanzia tarehe 1 Januari 1986 hadi 9 Februari 1989 na tena kuanzia tarehe 29 Julai 1994 hadi 30 Oktoba 2001. [1]

  1. "Eerste premier van Aruba Henny Eman (76) overleden". ND (kwa Kiholanzi). 2025-01-06. Iliwekwa mnamo 2025-01-06.