Henchir-El-Meden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Henchir-El-Meden ni eneo la akiolojia huko Tunisia.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Zamani ulikuwa mji wa jimbo la Kirumi la Afrika Proconsularis iliyoitwa Municipium Auralia Vina. [1] Magofu hayo ni pamoja na uwanja wa michezo uliowekwa wakfu kwa Marcus Aurelius na Lucius Verus. [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Victor Guérin, Voyage archéologique dans la Régence de Tunis (Рипол Классик, 1862) p267.
  2. Frank Sear, Roman Theatres: An Architectural Study (OUP Oxford, 20 July 2006 ) p290.
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-El-Meden kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.