Hasira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 16:00, 11 Machi 2013 na Legobot (majadiliano | michango) (Bot: Migrating 63 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q79871 (translate me))
Hasira ya Akile dhidi ya Agamemnon ilivyochorwa na Giovanni Battista Tiepolo.
Vilema vikuu

Hasira ni ono linalowapata binadamu na wanyama mbele ya kipingamizi.

Isiporatibiwa na mtu inaweza ikasababisha madhara makubwa, inavyofundisha mithali ya Kiswahili, "Hasira, hasara".

Ndiyo sababu inahesabiwa kati ya vilema vikuu ambavyo ni mizizi ya dhambi nyingine.