Nenda kwa yaliyomo

Haruka Osawa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haruka Osawa (alizaliwa 15 Aprili 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya JEF United Chiba inayoshiriki ligi ya Yogibo WE huko Japani. Haruka alicheza kwa mara ya kwanza kwenye Ligi ya Yogibo WE mnamo 20 Septemba 2021.[1][2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Haruka Osawa".
  2. "Scoresheet" (PDF). weleague.jp. Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haruka Osawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.