Hannah Forster (mwanaharakati)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hannah J. Forster (alizaliwa mwishoni mwa miaka ya 1950) ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa nchini Gambia .

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Forster alisoma shule ya St. Joseph's Preparatory School na St. Joseph's High School.

Baada ya kufanya kazi ya ofisi kwa muda mfupi, alifanya kazi katika maktaba ya Taifa ya Gambia . Alihitimu kutoka Chuo kikuu cha Ghana na kupata shahada ya sayansi ya maktaba na pia alihitimu kutoka Chuo kikuu cha Loughborough huko Uingereza na kupata shahada ya kwanza katika masuala ya maktaba na sayansi ya habari . Katika shule ya Sant'Anna ya mafunzo ya juu, alipata shahada ya uzamili katika masuala ya Haki za kibinadamu na kudhibiti migogoro. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Hannah Forster - African Development Bank". African Economic Conference. 2019-01-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Januari 2019. Iliwekwa mnamo 2021-03-20.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hannah Forster (mwanaharakati) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.