Hannah Blundell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Blundell akichezea Chelsea mnamo 2015

Hannah Blundell (alizaliwa 25 Mei 1994)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza,ambae anacheza kama beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-08. Iliwekwa mnamo 2024-04-29. 
  2. "Aluko scores but England women lose", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-29 
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hannah Blundell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.