Hanna Bennison
Mandhari
Hanna Ulrika Bennison (alizaliwa 16 Oktoba 2002) ni mwanasoka kutokea Uswidi anayechezea nafasi ya kiungo wa kati kwenye ligi kuu ya wanawake Uingereza(WSL) ndani ya timu ya Everton F.C .
Alionekana kwa mara ya kwanza kwenye Timu ya taifa ya mpira wa miguu ya wanawake ya Sweden mnamo Novemba, 2019. Mnamo Januari 2020 alitajwa na UEFA kama mmoja wa wachezaji 10 wa kutumainiwa zaidi barani Ulaya[1] na Machi 2021 alishinda Tuzo ya NXGN Goal (tovuti) kama mwanasoka bora wa kike duniani mwenye umri mdogo.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hanna Bennison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |