Hamoud Abuu Jumaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hamoud Abuu Jumaa (amezaliwa 10 July 1970) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Kibaha Vijijini kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017