Hamari Traoré

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Hamari Traoré mwaka 2017

Hamari Traoré (alizaliwa 27 Januari 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Mali ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Stade Rennais.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Traore alijiunga na Lierse mnamo 2013 kutoka Paris FC. Alicheza kwa huko katika lighi kuu ya ubelgiji 30 Oktoba 2013 dhidi ya Sporting Lokeren alicheza mchezo kamili, ambao ulimalizika kwa ushindi wa 2-1.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Traore aliitwa kwenye timu ya taifa ya Mali na alicheza kwa mara ya kwanza katika ushindi mzuri wa 4-1 dhidi ya Burkina Faso 2019.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hamari Traoré kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.