Hala Sedki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hala Sedki
Amezaliwa Hala Sedki
15 Juni 1961
mji wa Kairo,
Jina lingine Hala Sedki George Younan
Kazi yake Msanii kutoka nchini Misri
Miaka ya kazi zaidi ya Miaka30.


Hala Sedki George Younan alizaliwa mnamo tarehe 15 Juni 1961 katika mji wa Kairo, ni Msanii kutoka nchini Misri. Alianza kazi yake na mkurugenzi Nour Al Demirdash katika Rehlet Al Melion na alifanya kazi katika filamu zaidi ya 30.

Pia alipokea zawadi ya Best Actress Award kutoka katika Tamasha la Taifa la Kairo (International Festival). Hala pia alifanya kazi katika tamthiliya nyingi za mfululizo za Televisheni kama Awrak Misrya, Arabisk, Zaman Al Aolama na Ynabei El Eshk. Pia alimaliza kurekodi filamu kubwa iliyojulikana kama "Young Alexander", ambapo ilikuwa ni hadithi ya Alexander the Great.


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hala Sedki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.