Hakima Abbas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hakima Abbas
Kazi yake mwanasayansi, mwanaharakati, mwandishi, mtafiti

Hakima Abbas ni mwanasayansi wa siasa, mwanaharakati wa masuala ya wanawake, mwandishi na mtafiti. Kwa sasa ni mkurugenzi mwenza wa Chama cha Haki za Wanawake na Maendeleo.

Wakati wa janga la ugonjwa wa UVIKO-19 alitetea Uponyaji kwa haki unaojumuisha wanawake.

Hapo awali, alikuwa mkurugenzi mkuu wa Fahamu. Pia alikuwa mhariri wa Queer African Reader (2013) na Sokari Ekine. Kitabu kilichopokelewa kama kipande muhimu kimataifa kilikuwa na mchango muhimu kwa harakati za wanawake na mashoga barani Afrika.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]