Haki ya kupata chakula

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Haki ya kupata chakula ni moja ya haki za msingi za binadamu ikiwa inahusisha haki ya watu kujikimu na kujimudu katika dhana ya upatikanaji wa chakula bora. Pia haki hii inazungumzia upatikanaji wa chakula cha kutosha kwa namna ambayo watu wanaweza kukipata, na kwamba kiwe kinakidhi mlo kamili wa mtu kwa kila mtu.

Haki ya kupata chakula inalinda haki zote za binadamu kuwa huru dhidi ya njaa, vyakula visivyo salama na utapiamlo. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Ziegler 2012: "What is the right to food?"
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Haki ya kupata chakula kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.