Haji Omar Kheir
Haji Omar Kheir (amezaliwa 10 Januari 1960) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa Mwakilishi wa Jimbo la Tumbatu kwa miaka 2001 – 2020. [1] Alichaguliwa kuwa waziri wa nchi katika nyanja tofauti, alikuwa Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kanda Maalum, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Waziri katika Afisi ya Rais anayesimamia Vikosi Maalum na Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ). [2] [3] [4] [5] [6] [7] [8] [9] [10] [11]
Mwezi Juni 13, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan alimetua kuwa mshauri mwandamizi katika ofisi ya rais kwenye maswala ya siasa na mahusiano ya kijamii, pamoja wateule wengine watatu, Abdallah Bulembo, Rajab Omar Luhwavi na William Lukuvi. [12]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Tovuti ya Baraza la Uwakilishi Zanzibar, iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Haji Omar Kheri:ACT Wazalendo sikieni,mamlaka ya uteuzi ni ya Rais., iliangaliwa Juni 2023
- ↑ [ https://issamichuzi.blogspot.com/2019/08/waziri-wa-nchi-haji-omar-kheri-afanya.html WAZIRI WA NCHI HAJI OMAR KHERI AFANYA ZIARA KATIKA WILAYA YA MAGHARIB A ], iliangaliwa Juni 2023
- ↑ WAZIRI WA NCHI HAJI OMAR KHERI AFANYA ZIARA, iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Waziri Haji Omar Kheri amewapongeza Walimu na Wazazi wa Almadrasatul Nurul-Munawwara , iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Tanzania: Mwinyi Opens New Small Seaport in North Zanzibar, iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Zanzibar legislators want assessment of water projects, iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Dr Shein makes minor cabinet reshuffle Ilihifadhiwa 24 Juni 2023 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Tanzania Zanzibar Upgrades Its Town to City Level, iliangaliwa Juni 2023
- ↑ MH.HAJI OMAR KHERI AMEAHIDI MAKUBWA KWA WANANCHI WA TUMBATU KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI, iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Waziri Kheir ajitoa kuwania Urais wa Zanzibar Ilihifadhiwa 27 Juni 2023 kwenye Wayback Machine., iliangaliwa Juni 2023
- ↑ Tanzania, Ikulu [@ikulumawasliano] (13 Juni 2023). "UTEUZI" (Tweet). Iliwekwa mnamo 14 Juni 2023 – kutoka Twitter.
{{cite web}}
: Cite has empty unknown parameter:|dead-url=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |