Nenda kwa yaliyomo

Guy Juke

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

William De White (amezaliwa Septemba 4, 1951), anajulikana zaidi kama Guy Juke, ni msanii wa picha na mwanamuziki wa Austin, Texas. Kama msanii wa mabango aliunda na kuchora jengo la klabu ya usiku na alikuwa mmoja wa kikundi cha sana cha 'Armadillo Art Squad'. Mara nyingi kazi zake hutokea katika aina ya kivuli na katika pembe tofauti tofauti,ambazo nyingi huvutia filamu za kutisha na za mawindo na pia katuni

Maisha binafsi

[hariri | hariri chanzo]

Guy Juke alizaliwa huko San Angelo, Texas mnamo Septemba 4, 1951. Mapema baba yake alitambua talanta ama kipaje chake cha asili cha usanii.Akamtia moyo kwa kumpa masomo ya sanaa. [1] Juke aliachana na mafunzo yake rasmi ya sanaa na kujiunga na jumuiya katika mji wake. [2] Baada ya kuhamia Austin mwishoni mwa 1972 alikuja kujulikana kwa jina la Guy Juke.

Juke (De White) alifunga ndoa na Doris Eleanor Bickley (kutoka Corpus Cristi) Januari 1985. Bickley, pia ni msanii kuoka Austin, alifanya kazi hasa katika sanaa ya uchoraji. Studio mbili za ghorofa za juu zilizokodishwa kwenye ghorofa ya juu ya duka la rejareja la Half Price Books ambapo jengo zima lilikuwa na wasanii, mafundi, wachezaji na wanamuziki.

Juke baadaye alimuoa na mwanamuziki kutokz Austin Jo Carol Pierce . Walianza uhusiano wao mwaka wa 1990 wakati wakifanya kazi kwenye tamasha liitwalo "The Wedding at the End of the World". Alikuwa akichangia sanaa na alikuwa akiandika pia kwenye onyesho hilo. [3]

  1. "GUY JUKE". ARMADILLO WORLD HEADQUARTERS. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-29. Iliwekwa mnamo Agosti 11, 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Patoski, Joe Nick (23 Januari 2019). Austin to ATX. Texas A&M Press. uk. 59. ISBN 9781623497033.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Bad Girls Get Old". Retrieved on August 8, 2020. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Guy Juke kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.