Guselkumab
| Monoclonal antibody | |
|---|---|
| Aina | Whole antibody |
| Chanzo | Binadamu |
| Lengo | IL23 |
| Data ya kikliniki | |
| Majina ya kibiashara | Tremfya |
| AHFS/Drugs.com | Monograph |
| MedlinePlus | a617036 |
| Taarifa za leseni | US Daily Med:link |
| Kategoria ya ujauzito | B1(AU) |
| Hali ya kisheria | Prescription Only (S4) (AU) POM (UK) ℞-only (US) |
| Njia mbalimbali za matumizi | Chini ya ngozi |
| Vitambulisho | |
| Nambari ya ATC | ? |
| Data ya kikemikali | |
| Fomyula | C6402H9864N1676O1994S42 |
Guselkumab, inayouzwa kwa jina la chapa Tremfya, ni dawa inayotumika kutibu ugonjwa wa ngozi kavu iliyoinuka yenye kuwasha na iliyo na mabaka (plaque psoriasis).[1][2] Dawa hii inatumika kwa ugonjwa wa wastani hadi mkali.[1] Inatolewa kwa sindano chini ya ngozi.[1]
Madhara yake ya kawaida ni pamoja na maambukizi ya sehemy ya juu ya njia ya upumuaji.[1] Madhara yake mengine yanaweza kujumuisha maambukizi, maumivu ya kichwa, maumivu ya viungo, matatizo ya ini na kupungua kwa ufanisi wa chanjo.[3] Usalama wa matumizi yake katika ujauzito hauko wazi.[3] Dawa hii ni kingamwili ya monokloni ambayo inashikamana na kuzuia interleukin-23.[1]
Guselkumab iliidhinishwa kwa ajili ya matumizi ya kimatibabu nchini Marekani na Ulaya mwaka wa 2017.[3][1] Nchini Uingereza, iligharimu Huduma ya Afya ya Kitaifa (NHS) takriban £2,250 kwa miligramu 100 kufikia mwaka wa 2021.[4] Kiasi hiki nchini Marekani ni takriban dola 11,600 za Marekani.[5]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 3 4 5 6 "Tremfya". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 22 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Guselkumab". LiverTox: Clinical and Research Information on Drug-Induced Liver Injury [Internet]. National Institute of Diabetes and Digestive and Kidney Diseases. Juni 2018. PMID 31643594.
{{cite journal}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - 1 2 3 "Guselkumab Monograph for Professionals". Drugs.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Septemba 2021. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ BNF 81: March-September 2021. BMJ Group and the Pharmaceutical Press. 2021. uk. 1302. ISBN 978-0857114105.
- ↑ "Guselkumab Prices, Coupons & Savings Tips - GoodRx". GoodRx. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2021.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)