Greenwich
Mandhari
Greenwich ni jina la mahali katika nchi zinazotumia lugha ya Kiingereza.
Kiasili ilikuwa jina la mji mdogo Greenwich karibu na London ambayo sasa imekuwa sehemu ya jiji hili kubwa.
Greenwich hii ilikuwa makao makuu ya wafalme wa Uingereza wakati wa karne ya 15. Baadaye mji umekuwa maarufu kutokana na paoneaanga (kituo cha kuangalia nyota) kwa sababu meridiani yake imekuwa msingi wa kipimo cha longitudo duniani na pia msingi wa ugawaji wa dunia katika kanda muda.
Kuna pia miji inayoitwa Greenwich huko Kanada, Marekani na Australia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Greenwich, Connecticut
- Greenwich, Kansas
- Greenwich, Massachusetts
- Greenwich, New Jersey
- Greenwich, Ohio
- Greenwich, Utah
- Greenwich Village ndani ya jiji la New York
- Greenwich Mean Time (GMT)
- Greenwich Park
- Greenwich Hospital
- Royal Greenwich Observatory
- University of Greenwich
- Greenwich Township