Greenwich Mean Time

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Greenwich Mean Time ni kipimo cha wakati kwa ajili ya kanda muda. Mahali pa kipimo hicho ni mji wa Greenwich ambao siku hizi ni sehemu ya jiji la London, Uingereza.

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Greenwich Mean Time kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.