Nenda kwa yaliyomo

Grace Matata

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Grace Matata

Grace akiwa katika IWD2019
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanamuziki

Grace Matata ni mwanamuziki wa kike wa Tanzania anayeimba muziki wa Bongo Flava.[1]

Mwanadada huyu, ambaye pia anacharaza gitaa, ana uwezo mkubwa sana wa kupangilia nyimbo zake (composer) kuanzia utunzi, mpangilio wa sauti hata mpangilio wa Ala za muziki.[2]. Alianza safari ya muziki mnamo mwaka 2010 aliposajiliwa katika shirika la Music Lab (M-lab)[3]

Grace alimaliza elimu yake ya sekondari katika shule ya Tambaza, baadaye akajiunga na Chuo cha Usimamizi wa Fedha.

  1. Hello[4]
  2. Free Soul[5]
  3. Utanifaa[6]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
  1. http://www.sheroes.co.tz/sheroes.html Ilihifadhiwa 8 Machi 2019 kwenye Wayback Machine. iliangaliwa tar 7 March 2019
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-08. Iliwekwa mnamo 2019-03-07.
  4. https://mdundo.com/song/47835
  5. https://www.youtube.com/watch?v=RsmvEBwXFqI
  6. https://www.youtube.com/watch?v=rVbLmonoMtQ
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Matata kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.