Nenda kwa yaliyomo

Grace Kodindo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Grace Kodindo (alizaliwa Doba, kusini mwa Chad, mnamo mwaka 1960) ni mtaalamu wa mambo ya afya ya uzazi nchini Chad, ambaye ameongeza maboresho ya huduma hizo si Chad pekee lakini hata katika nchi maskini duniani kote.[1]. Kumbukumbu zake za makala mbili katika kituo cha habari cha Uingereza cha BBC zaidi alijikita katika kutoa taarifa juu ya ushiriki wake katika programu ya afya ya uzazi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Maisha na Elimu

[hariri | hariri chanzo]

Grace Kodindo ni binti wa Jean Kodindo Demba, afisa wa serikali anaishi na kaka zake wanne na ndugu zake wengine. Baada ya kumaliza elimu ya shule ya sekondari Lycée Félix Éboué katika N'Djamena, baada ya kupokea ruzuku kutoka kwa serikali ya Canada ikamuwezesha kuanza kusoma katika chuo kikuu cha Université de Montréal ambapo alihudhuria shule ya utabibu.[2]

  1. Kimani, Mary (Januari 2008). "Investing in the health of Africa's mothers". United Nations: Africa Renewal. Iliwekwa mnamo 26 Februari 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Akyeampong, Emmanuel Kwaku; Gates, Henry Louis; Niven, Mr. Steven J. (2012). Dictionary of African Biography. OUP USA. ku. 406–. ISBN 978-0-19-538207-5.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grace Kodindo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.