Gopala Davies
Gopala Davies | |
---|---|
Amezaliwa | Gopala Davies Mei 14 1988 Pretoria, Gauteng, Afrika Kusini |
Kazi yake | Ni muigizaji na muongozaji filamu wa Afrika Kusini |
Miaka ya kazi | 2008 hadi sasa |
Gopala Davies (alizaliwa Mei 14 mwaka 1988) ni muigizaji na muongozaji filamu wa Afrika Kusini. Anajulikana sana kwa utengenezaji wa michezo ya ukumbini ya kitamaduni Barbe Bleue: Hadithi juu ya wazimu, ambayo ilishinda Tuzo ya Standard Bank Oover katika Tamasha la Sanaa la Kitaifa mnamo mwaka 2015, na Tuzo ya Muongozaji filamu Bora wa Wanafunzi mnamo mwaka 2014.[1][2][3][4][5]
Gopala anacheza uhusika wa Adam katika filamu fupi ya Lilith: Genesis One ambayo ilishinda tuzo za Imaginarium kitengo cha filamu za PPC za 2015[6][7] na majaribio bora ya kimataifa ya mwaka 2016 katika Tamasha la ICARO Internacional de Cine. Aliigiza kama Robert katika kipindi cha tamthiliya ya vizazi vya SABC: The Legacy. Gopala pia alitembelea Afrika Kusini pamoja na Pieter Toerien's The History Boys, ambayo ilishinda tuzo ya Naledi ya uzalishaji bora wa tamthiliya mwaka 2011.[8][9][10]
Mwaka 2013 Gopala alicheza kama Mohammed katika filamu ya Tom Coash’s Cry Havoc, iliyoandaliwa na Grace Meadows na Ashraf Johaardien, ambayo alicheza pamoja na waigizaji David Dennis na Brenda Radloff.[11][12][13][14][15]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Staff Reporter". Grocott's Mail. 15 Julai 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-09. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Taylor, Anne (12 Julai 2015). "Creative excellence rewarded at National Arts Festival 2015". National Arts Festival. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Lankester, Tony (13 Julai 2014). "2014 Standard Bank Ovation Awards announced at National Arts Festival". National Arts Festival. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ BWW News Desk (14 Julai 2014). "2014 Standard Bank Ovation Awards Revealed at National Arts Festival". BWW. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Aldridge, William; Kruger, Elmarie. "Barbe Bleue: a story of madness". Perdeby. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-01. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ ART Times (4 Agosti 2015). "The 2015/16 PPC Imaginarium Awards". ART Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-08. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Screen Africa (8 Desemba 2015). "SA short gains recognition abroad". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-11-22. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Lindberg, Dawn. "The winners – Naledi Theatre Awards 2011". Naledi Theatre Awards. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-06-04. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2016.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ McKenna, Neal (22 Agosti 2011). "Brilliant Boys". Independent Online. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Pieter Toerien Productions (15 Juni 2011). "Making history with Pieter Toerien". Artslink. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-08. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Maputle, Precious (30 Septemba 2013). "Explosive Cry Havoc at UJ Con Cowan Theatre". Artslink. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-14. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Stones, Lesley (14 Oktoba 2013). "Cry Havoc: More than a love-hate story". Daily Maverick. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Bizcommunity (19 Aprili 2013). "Lineup for Grahamstown National Arts Festival". Bizcommunity. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ City Press (6 Julai 2013). "Review – Cry Havoc: An unsettling coincidence". News 24. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Vermaas, Nigel (6 Julai 2013). "Love conquers nothing". Cue Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-11-03. Iliwekwa mnamo 25 Januari 2016.
{{cite news}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gopala Davies kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |