Google Play

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Logo ya Google Play.

Google Play ni jukwaa la kujipatia programu au apps za mfumo wa uendeshaji wa Google Android. Ni duka la mtandaoni kwa ajili ya muziki, vitabu, filamu na progamu zote za Android.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Kabla kuanzishwa kwa Google Play, kulikuwa na maduka ma-4 tofauti ya Google:

  • Google Music
  • Google Books
  • Google Movies
  • Android Market

Mnamo tarehe 7 Machi, 2012, Google walitangaza ya kwamba wataziweka huduma hizi zote 4 katika sehemu moja, Google Play.

Android Market[hariri | hariri chanzo]

Android Market ilianzishwa punde baada ya Apple App Store mnamo tarehe 22 Oktoba 2008.