Goodluck Asaph Mlinga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Goodluck Asaph Mlinga ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ulanga kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017