Gloria Usieta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gloria USieta
Amezaliwa 19 Juni 1977
Nigeria
Nchi [Nigeria ]
Kazi yake mchezaji wa mpira wa miguu

Gloria Usieta (alizaliwa 19 Juni 1977) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa nchini Nigeria ambaye alicheza katika timu ya taifa ya Mpira wa miguu ya Nigeria katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake la mwaka 1999 na kombe la Olimpiki la mwaka 2000.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Usieta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.