Gloria Bamiloye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Gloria Olusola Bamiloye ni mwanasanaa, mwigizaji, muongozaji na muandaaji wa filamu wa Nigeria.[1] pia ni mwanzilishi mwenza wa Mount Zion Drama Ministry.[2]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Gloria alizaliwa Ilesa mjini katika jimbo la Osun nchini Nigeria. Kitaaluma ni mwalimu wa shule aliyepitia mafunzo ya ualimu huko Ipetumodu.[3]

Ni mwanzilishi mwenza Mount Zion Faith Ministry aliyoianzisha tarehe 5 Agosti 1985 pamoja na mume wake Mike Bamiloye. Ameshirikishwa na kuandaa filamu mbalimbali za Nigeria .[4]

Mwaka wa 2002 aliandika kitabu kiitwacho "The Anxiety of Single Sisters"[5]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

  • The Haunting Shadows 1 (2005)
  • The Haunting Shadows 2 (2005)
  • The Haunting Shadows 3 ( 2005),

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Johnson-Odesola,-Mike-Bamiloye-and-Gloria-Bamiloye. Daily Independent, Nigerian Newspaper. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.
  2. TOPE OLUKOLE. I didn’t reckon I’d marry Mike Bamiloye – Wife, Gloria. Newswatch Times. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-02-12. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.
  3. I can’t stop calling my husband Brother Mike –Gloria Bamiloye. The Punch - Nigeria's Most Widely Read Newspaper. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.
  4. YEMISI ADENIRAN. Poverty made us eat corn three times a day Gloria Bamiloye - nigeriafilms.com. nigeriafilms.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 25 February 2015. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.
  5. The Anxiety of Single Sisters. google.co.za. Iliwekwa mnamo 25 February 2015.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gloria Bamiloye kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.