Nenda kwa yaliyomo

Giuseppe Mazzoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Giuseppe Mazzoli (22 Novemba 18868 Desemba 1945) alikuwa kiongozi wa Italia wa Kanisa Katoliki, askofu mkuu ambaye alihudumu kwa muda mfupi kama Balozi wa Papa nchini Bulgaria mwaka 1945.

Alizaliwa huko Fabriano, Italia, na alipadrishwa kuwa kuhani tarehe 9 Julai 1911.[1]

  1. "Episcopal consecration of Mgr Giuseppe Mazzoli and appointment as Apostolic Delegate in Bulgaria". Vatican Secret Archives. Iliwekwa mnamo 16 Mei 2019 – kutoka Open Jerusalem.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.