Girma Wolde-Giorgis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Girma Wolde-Giorgis (amezaliwa mwezi wa Desemba, 1924 katika jiji la Addis Ababa) ni Rais wa nchi ya Ethiopia tangu 8 Oktoba 2001. Alimfuata Negasso Gidada.

Administradors.png Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Girma Wolde-Giorgis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.