Nenda kwa yaliyomo

Giovanni Reyna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papadopoulos akichezea Borussia Dortmund mnamo 2023

Giovanni Alejandro Reyna (alizaliwa 13 Novemba 2002)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Marekani, ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Nottingham Forest akitokea Borussia Dortmund inayoshiriki Bundesliga ya Ujerumani kwa mkopo na timu ya taifa ya Marekani.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://web.archive.org/web/20191227222540/https://www.fifadata.com/documents/FU17WC/2019/pdf/FU17WC_2019_Squadlists.pdf
  2. "BVB football | First team". www.bvb.de. Iliwekwa mnamo 2024-06-29.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giovanni Reyna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.