Nenda kwa yaliyomo

George Lazenby

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Lazenby
George Lazenby
George Lazenby
Jina la kuzaliwa George Lazenby
Alizaliwa 5 Septemba 1939
Australia
Jina lingine James Bond
Kazi yake Mwigizaji
Ndoa Christina Gannett (1971-1995)

Pam Shriver (2002-)

George Robert Lazenby (amezaliwa tar. 5 Septemba 1939) ni mwigizaji wa filamu wa Kiaustralia aliyejulikana zaidi kwa kuigiza mara moja kama James Bond mnamo mwaka wa 1969, alicheza katika filamu ya On Her Majesty's Secret Service.

Filamu alizoigiza George[hariri | hariri chanzo]

 • Espionage in Tangiers (1966)
 • On Her Majesty's Secret Service (film)|On Her Majesty's Secret Service (1969)
 • Universal Soldier (1971 film)|Universal Soldier (1971)
 • Life and Legend of Bruce Lee (1973) (archive footage)
 • The Last Days of Bruce Lee (1973)
 • The Shrine of Ultimate Bliss (1974)
 • The Man From Hong Kong (Alternate title: The Dragon Flies) (1975)
 • A Queen's Ransom (1976)
 • The Kentucky Fried Movie (1977)
 • Bruce Lee, The Legend (1977)
 • Game of Death (1978) (archive fighting footage)
 • Death Dimension (Alternate title: Black Eliminator) (Alternate title: Freeze Bomb) 1978)
 • Saint Jack (1979)
 • The Nude Bomb (1980) - cameo appearance as James Bond
 • General Hospital (US TV Series)|General Hospital (1982) (TV Series)
 • The Return of the Man from U.N.C.L.E. (1983) (TV Movie) - as the Bond-like character "JB"
 • Master Ninja (1984)
 • Never Too Young to Die (1986)
 • Superboy (TV series)|Superboy (1988) (TV Series) - recurring guest role as Jor-El
 • The Evil Inside (1992)
 • Emmanuelle's Secret (1992)
 • Emmanuelle's Revenge (1992)
 • Emmanuelle's Perfume (1992)
 • Emmanuelle's Magic (1992)
 • Gettysburg (movie)|Gettysburg (1993) - as Confederate Brig. Gen Johnston Pettigrew
 • YuYu Hakusho: Eizo Hakusho (1993) (voice)
 • Emmanuelle's Love (1993)
 • Emmanuelle in Venice (1993)
 • Emmanuelle Forever (1993)
 • Batman Beyond (1999) (TV Series) - recurring role as King (voice)
 • Batman Beyond: The Movie (1999) (TV Movie) (voice)
 • The Pretender (television)|The Pretender (1999–2000) (TV Series) - recurring guest role as the hero Jarod's father Major Charles
 • Four Dogs Playing Poker (film)|Four Dogs Playing Poker (2000)
 • Spider's Web (2001)
 • YuYu Hakusho: Ghost Files (2002) (TV Series) (voice)
 • Winter Break (Alternate title: Sheer Bliss) (2003)

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Lazenby kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.